18 Februari
Mandhari
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 18 Februari ni siku ya arubaini na tisa ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 316 (317 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1374 - Mtakatifu Hedwiga wa Poland, malkia kutoka Hungaria
- 1855 - Jean Jules Jusserand, mwanasiasa kutoka Ufaransa
- 1909 - Wallace Stegner, mwandishi kutoka Marekani
- 1931 - Toni Morrison, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1993
- 1950 - Cybill Shepherd
- 1954 - John Travolta
- 1957 - Vanna White
- 1965 - Andre Romell Young, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1968 - Molly Ringwald
- 1987 - Skin Diamond
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 999 - Papa Gregori V
- 1546 - Martin Luther, mwanateolojia mwanzilishi wa Matengenezo ya Kiprotestanti
- 1957 - Dedan Kimathi, kiongozi wa Mau Mau nchini Kenya; alinyongwa
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Sadoth na wenzake, Eladi wa Toledo, Tarasi wa Konstantinopoli, Anjibati, Theotoni, Yohane-Fransisko-Regis Clet, Yohane Petro Neel, Martino Wu Xuesheng, Yohane Zhang Tianshen, Yohane Chen Xianheng, Geltrude Comensoli n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 18 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |